Sunday, November 20, 2011

JE WAJIONAJE?

  Ni wazi kwaba watu wengi pindi wanapo kutana kijinsia kwa mara ya kwanza kila mmoja huwa anajisikia vile anavyo jisikia. nikiwa kama kijana mwenzenu nimefanya uchunguzi kuna vijana na watu wenye umri mkubwa hawajawahi kukutana kimwili na mke au mume. swali kwa nyie vijana mlie wahi kukutana kimwili je? wajionaje pindi umekutana kwa mara ya kwanza na manzi wako na unasemaje kwa wale ambao hawajawahi kukutana kimwili.................

No comments:

Post a Comment