leo ni kizazaa cha kukatana na shoka kati ya timu hizi mbili ambazo  zitacheza leo hii, nadhani ni moja ya burudani kwa siku ya leo na wote  tuna wasi wasi kwa kila mmoja mwenye kupenda timu flani anategemea  matumaini ya ushindi kati ya timu mbili hizi Chelse Vs Man United.na katika kudhihirsha kuwa mechi ya leo ni ya aina yake tambo za makocha pamoja na mashabiki zimezidi kuifanya timu hizi mbili kuishika kabisa siku ya leo katika vyombo mbalimbali vya habari duniani kote. ila yote ni yote kila timu inanafasi ya kuibuka kidedea ijapokuwa karata yangu inaweza kuangukia darajani stamfod bridge kwa wa chelsea.
Sunday, September 18, 2011
MECHI YA KUKATANA NA SHOKA CHELSEA VS MAN UNITED
leo ni kizazaa cha kukatana na shoka kati ya timu hizi mbili ambazo  zitacheza leo hii, nadhani ni moja ya burudani kwa siku ya leo na wote  tuna wasi wasi kwa kila mmoja mwenye kupenda timu flani anategemea  matumaini ya ushindi kati ya timu mbili hizi Chelse Vs Man United.na katika kudhihirsha kuwa mechi ya leo ni ya aina yake tambo za makocha pamoja na mashabiki zimezidi kuifanya timu hizi mbili kuishika kabisa siku ya leo katika vyombo mbalimbali vya habari duniani kote. ila yote ni yote kila timu inanafasi ya kuibuka kidedea ijapokuwa karata yangu inaweza kuangukia darajani stamfod bridge kwa wa chelsea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment