Ni mh dr: rais jakaya mrisho kikwete akitangaza mabadiliko ya tume ya uundwaji wa katiba mpya ikulu jijini dar es salaam.
ni lazima tujue hatima ya katiba mpya sisi watanzania |
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________
ni hatua ya mwanzo katika mchakato wa kuunda katiba mpya |
UONGOZI WA JUU 1. Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA - Mwenyekiti 2. Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA 1. Prof. Mwesiga L. BAREGU 2. Nd. Riziki Shahari MNGWALI 3. Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI 4. Nd. Richard Shadrack LYIMO 5. Nd. John J. NKOLO 6. Alhaj Said EL- MAAMRY 7. Nd. Jesca Sydney MKUCHU 8. Prof. Palamagamba J. KABUDI 9. Nd. Humphrey POLEPOLE 10. Nd. Yahya MSULWA 11. Nd. Esther P. MKWIZU 12. Nd. Maria Malingumu KASHONDA 13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb) 14. Nd. Mwantumu Jasmine MALALE 15. Nd. Joseph BUTIKU | WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR 1. Dkt. Salim Ahmed SALIM 2. Nd. Fatma Said ALI 3. Nd. Omar Sheha MUSSA 4. Mhe. Raya Suleiman HAMAD 5. Nd. Awadh Ali SAID 6. Nd. Ussi Khamis HAJI 7. Nd. Salma MAOULIDI 8. Nd. Nassor Khamis MOHAMMED 9. Nd. Simai Mohamed SAID 10. Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA 11. Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN 12. Nd. Suleiman Omar ALI 13. Nd. Salama Kombo AHMED 14. Nd. Abubakar Mohammed ALI 15. Nd. Ally Abdullah Ally SALEH UONGOZI WA SEKRETARIETI 1. Nd. Assaa Ahmad RASHID - Katibu 2. Nd. Casmir Sumba KYUKI - Naibu Katibu |
No comments:
Post a Comment