Friday, December 23, 2011

POLENI SANA WAHANGA WA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM


nyumba na magari yaliofunikwa na maji
 Unaweza ukasema ni muujiza lakini si muujiza ni mipango ya mungu. Yeye ndie muweza wa yote hapa duniani. akisema kua na kinakua hakuna atakae mzuia. ni msiba mkubwa kwetu sisi watanzania kupoteza watu tuliowategemea katika familia zetu wao sio walikua bora zaidi la hasha, ila mungu kapanga mipango yake ikapangika na akachukua alichokileta hapo mwanzo. poleni sana sana ndugu zangu. hali hii ni ya kutisha na inazidi endelea pindi mvua zinapozidi kunyesha inahitaji subira na watu kujivika moyo wa chuma.poleni sana dar es salaam poleni sana mliopatamuhanga huu wa mafuriko poleni sana tanzania

No comments:

Post a Comment