Sunday, September 18, 2011

MECHI YA KUKATANA NA SHOKA CHELSEA VS MAN UNITED



leo ni kizazaa cha kukatana na shoka kati ya timu hizi mbili ambazo zitacheza leo hii, nadhani ni moja ya burudani kwa siku ya leo na wote tuna wasi wasi kwa kila mmoja mwenye kupenda timu flani anategemea matumaini ya ushindi kati ya timu mbili hizi Chelse Vs Man United.na katika kudhihirsha kuwa mechi ya leo ni ya aina yake tambo za makocha pamoja na mashabiki zimezidi kuifanya timu hizi mbili kuishika kabisa siku ya leo katika vyombo mbalimbali vya habari duniani kote. ila yote ni yote kila timu inanafasi ya kuibuka kidedea ijapokuwa karata yangu inaweza kuangukia darajani stamfod bridge kwa wa chelsea.

Thursday, September 1, 2011

wadau hii ndio blog yangu mpya

nimeamua kuanzisha blog kwa ajili yangu binafsi na wadau wote ambao watakuwa na mimi katika gurudumu hili la habari pamoja naburudani zaidi.. so wadau karibuni tena na nahitaji sapoti yenu kwa kiwango cha juu ili tufanye kazi kwa pamoja na kwa uadilifu.